Upara : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
hijacked + spamlinks
Mstari 138:
* "Unarithi upara kutoka kwa baba ya mama yako."
** Hapo awali, upara wa mapema wa aina ya androjeni ilidhaniwa kuhusiana na hali-ngono zilizolizoshamiri katika wanaume na kwa kufifia hali-ngono katika wanawake.
** Utafiti unaonyesha kwamba jeni kwa vipokezi androjeni, ambayo ni muhimu katika kuamua uwezekano wa kupoteza nywele, ipo kwenye kromosomu X na hivyo daima hurithiwa kutoka upande wa mama.<ref>{{cite journal | author = Hillmer A, Hanneken S, Ritzmann S, Becker T, Freudenberg J, Brockschmidt F, Flaquer A, Freudenberg-Hua Y, Jamra R, Metzen C, Heyn U, Schweiger N, Betz R, Blaumeiser B, Hampe J, Schreiber S, Schulze T, Hennies H, Schumacher J, Propping P, Ruzicka T, Cichon S, Wienker T, Kruse R, Nothen M | title = Genetic variation in the human androgen receptor gene is the major determinant of common early-onset androgenetic alopecia. | journal = Am J Hum Genet | volume = 77 | issue = 1 | pages = 140–8 | year = 2005 | pmid = 15902657 | doi = 10.1086/431425 | pmc = 1226186}}</ref> Pana uwezekano wa 50% kwamba mtu huwa na kromosomu X sawa na babuye wa kuukeni. Kwa vile wanawake wana kromosomu X mbili, wao huwa na nakala mbili za jeni pokezi ya androjeni ilhali wanaume wana moja tu. Hata hivyo, utafiti pia unaonyesha kuwa mtu aliye na baba mwenye upara pia ana nafasi kubwa sana ya kukumbwa na upotevu wa nywele.<ref>{{cite journal | author = Chumlea W, Rhodes T, Girman C, Johnson-Levonas A, Lilly F, Wu R, Guo S | title = Family history and risk of hair loss. | journal = Dermatology | volume = 209 | issue = 1 | pages = 33–9 | year = 2004 | pmid = 15237265 | doi = 10.1159/000078584}}</ref><ref>[54] ^ [http://www.kromosoft.com/resources/KB/Abstracts/GeneticsOfPatternBaldness.php Jenetiki ya Mkondo wa Upara]</ref>
* "Shughuli za ubongo au matatizo ya kisaikolojia yanaweza kusababisha upara."
** Wazo hili linaweza kutokana na sababu kuwa kolesteroli hushirikishwa katika mchakato wa neurojenesi na pia vifaa vya mkisingi ambavyo mwili hutumia kuunda DHT. Licha ya kwamba wazo kuwa watu wenye upara ni werevu zaidi huenda halina mashiko katika ulimwengu wa kisasa, katika ulimwengu wa kale kama mtu aliyekuwa na upara, iliwezekana kwamba alikuwa na kiasi cha kutosha cha mafuta katika mlo wake. Kwa hiyo, ukuaji wa akili yake labda haukudumaa kwa utapiamlo katika miaka yake muhimu ya awali, alikuwa na uwezekano mkubwa wa kuwa tajiri, na pia kuwa alipata elimu ya kimsingi. Hata hivyo, maisha ya kulazadamu na uwerevu katika ulimwengu wa kisasa, hauwezi kuhusishwa mno na hali ya ulaji mafuta unaoambatanishwa na tabaka la kiuchumi katika nchi za kisasa zilizoendelea. Uwezekano mwingine ni kwamba kwa baadhi ya watu,wakati wa kujamiana hali yao kijamii iliyoyokana na uwerevu, huweza kufidiana na upungufu wa mvutio unaoletwa na upotevu wa nywele na hivyo kuzalisha watoto wa kiume ambao hukabiliwa na hali zote mbili za uwerevu au upotevu nywele. Hata hivyo, kwa mujibu wa hali bora ya kijami na kiuchumi na hivyo uwezo zaidi wa kugharamia matibabu ya upotevu wa nywele , katika miaka ya hivi karibuni uwezekano wa kudai uhusiano baina ya uwerevu na upotevu halisi wa nywele ni mdogo . Bila shaka, mbali na sababu hizi zote za kisayansi, upara unaweza tu kuhusishwa na uwerevu au hekima kwa sababu watu hupata upara jinsi umri unavyokua na tajriba kuzidi, huku watu wenye uwerevu mdogo wakifa wangali wachanga.
Mstari 182:
* Rossi S (: mha.) (2004). ''Kitabu-elekevu cha Madawa cha Australia 2004.'' Adelaide: Kitabu-elekevu cha Madawa cha Australia. ISBN 0-9578521-4-2
* {{cite journal |author=Stárka L, Cermáková I, Dusková M, Hill M, Dolezal M, Polácek V |title=Hormonal profile of men with premature balding. |journal=Exp Clin Endocrinol Diabetes |volume=112 |issue=1 |pages=24–8 |year=2004 |pmid=14758568 |doi=10.1055/s-2004-815723}}
* Utafiti wa Nourkrin Man wa DHT. ''[http://nourkrinman.googlepages.com/home ]'' ''[http://nourkrinman.googlepages.com/home ] 2006.''
* Hakuna tiba kwa Upara? Wojnicki, P (2008) ISBN 1-4348-4178-2 ''[http://nocureforbaldness.co.uk ] 2006''
 
== Viungo vya nje ==