76,314
edits
'''ARIA Charts''' ni [[chati]] ya rekodi ya mauzo ya [[muziki]] wa [[Australia|Kiaustralia]], hutolewa kila [[wiki]] na [[Australian Recording Industry Association]]. Chati
ARIA ilianzisha chati zake yenyewe mwishoni mwa wiki ya mwisho ya 26 Juni [[1988]]. Kabla ya hii, katikati ya [[1983]], ARIA ilipata [[hatimiliki]] ya kutoa ripoti ya chati ya '[[Kent Music Report]]' (ambayo baadaye ilibadilishwa jina na kuitwa 'Australian Music Report', hadi hapo iliposimamisha shughuli zake za uchapishaji mnamo mwaka wa 1999).
Chati za ARIA ni pamoja na:
* [http://www.ariacharts.com.au/ ARIA Charts home page]
* [http://www.australian-charts.com/ ARIA Charts with archives from 1989]
▲* [http://www.onmc.iinet.net.au Oz Net Music Chart (includes archive)]{{dead link}} [ILANI: Orodha za kila wiki siyo rasmi, pia zimetoka vyanzo mbalimbali. Kwa hiyo kuna makosa fulani pamoja na nyimbo ambazo zimetajwa kama namba moja ambazo hazipatani.]
{{DEFAULTSORT:Aria Charts}}
[[Jamii:Vipindi vya chati]]
[[Jamii:Australia]]
|