Mpaka : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 1:
[[Picha:The border crossing into Togo from Benin (5488548755).jpg|thumb|[[Geti]] yala kuvuka mpaka baina ya [[Togo]] na [[Benin]].]]
[[Picha:Berlin wall mitte.jpg|thumb|Mpaka baina ya [[Berlin]] Mashariki na Berlin Magharibi hadi [[mwaka]] [[1990]].]]
[[Picha:OffeneGrenzeNiederndorf-Oberaudorf.jpg|thumb|Mpaka ndaniusio yana Umoja wa Ulayavizuizi baina ya [[Austria]] na [[Ujerumani]] usiondani naya vizuizi[[Umoja wa Ulaya]].]]
'''Mpaka''' ni sehemu ambako [[kitu]] kinafikia mwisho wake. Mara nyingi [[neno]] hutumiwa kutaja mwisho wa eneo fulani, kama vile [[kiwanja]], [[shamba au nchi. Vyeneo vya hisabati huwa pia na mpaka, kama vile maumbo ya kijiometria (mraba, duara)]] au [[seti (hisabati)|setinchi]]. Vipindi vya wakati huwa na mpaka vilevile.
 
Vieneo vya [[hisabati]] huwa pia na mpaka, kama vile [[Umbo|maumbo]] ya [[jiometri|kijiometria]] ([[mraba]], [[duara]]) au [[seti (hisabati)|seti]]. Vipindi vya wakati huwa na mpaka vilevile.
==Mpaka wa nchi==
Katika karne zilizopita eneo lote la Dunia (isipokuwa Antakriki) limegawiwa kwa nchi zinazotenganishwa kwa mipaka inayofafanuliwa. Hali hii haikuwa kawaida katika sehemu kubwa ya historia ya binadamu.
 
==Mpaka wa nchi==
Mipaka inaweza kufuata vizuizi asilia kama vile mito, safu za milima, jangwa au bahari. Katika nchi nyingi kuna tatizo kwamba mipaka ilipatanwa kisiasa bila kujali hali ya watu katika eneo fulani; hivyo jumuiya nyingi katika Afrika zimetenganishwa kwa mipaka iiyochorwa wakati wa ukoloni. Lakini tatizo hili linapatikana pia Ulaya, Asia na Amerika.
Katika [[karne]] zilizopita eneo lote la [[Dunia]] (isipokuwa Antakriki[[Antaktiki]]) limegawiwa kwakati ya nchi zinazotenganishwa kwa mipaka inayofafanuliwa. Hali hii haikuwa kawaida katika sehemu kubwa ya [[historia]] ya [[binadamu]].
 
Mipaka inaweza kufuata vizuizi asilia kama vile [[mito]], [[safu za milima]], [[jangwa]] au [[bahari]]. Katika nchi nyingi kuna tatizo kwamba mipaka ilipatanwailikubaliwa kisiasa bila kujali hali ya watu katika eneo fulani; hivyo jumuiya[[makabila]] nyingimengi katika [[Afrika]] zimetenganishwayametenganishwa kwa mipaka iiyochorwa wakati wa [[ukoloni]]. Lakini tatizo hili linapatikana pia [[Ulaya]], [[Asia]] na [[Amerika]].
Kwa mipaka mingi kuna mashariti fulani kama watu wanataka kuipita kama vile kuwa na [[pasipoti]] au kibali cha [[viza]].
 
Kwa mipaka mingi kuna masharitimasharti fulani kama watu wanataka kuipita kama vile kuwa na [[pasipoti]] au kibali cha [[viza]].
{{mbegu}}
[[jamii:Jiografia]]
[[jamii:siasa]]