Bahari ya Kaskazini : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 1:
[[Picha:Bahari ya Kaskazini.png|thumb|300px|Bahari ya Kaskazini.]]
[[Picha:DanishWindTurbines.jpg|thumb|320px|[[Umeme]] hutengenezwa baharini karibu na Denmark.]]
'''Bahari ya Kaskazini''' ni [[bahari ya pembeni]] ya [[Atlantiki]] kati ya [[Skandinavia]] ([[Norway]] na [[Denmark]]) upande wa [[mashariki]], [[Ujerumani]] na [[Uholanzi]] upande wa [[kusini]] na [[Britania]] kwa [[magharibi]].
Inaunganishwa na Atlantiki kwa njia ya [[Mfereji wa Kiingereza]] upande wa kusini na [[Bahari ya Norwei]] upande wa [[kaskazini]].
[[Mlango wa bahari]] ya [[Skagerak]] unaiunganisha na [[bahari ya Baltiki]]. [[Mfereji wa Kiel]]
[[Kimo]] cha [[wastani]] ni
[[Mito]] mikubwa inayoingia katika Bahari ya Kaskazini ni pamoja na [[Rhine]], [[Elbe]], [[Weser]], [[Ems]], [[Meuse]], [[Schelde]], [[Thames]] na [[Humber]].
Katika sehemu za kaskazini kuna gesi na mafuta.▼
▲Katika sehemu za kaskazini kuna [[gesi]] na [[mafuta]].
{{mbegu-jio-ulaya}}
[[Jamii:Atlantiki]]
[[Jamii:Bahari ya pembeni]]
|