Bahari ya Norwei : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Vågakaillen nattlys.JPG|thumb|right|Milima ya visiwa vya [[Lofoten]] vilivyopo mbele ya pwani la Norwei pamoja na mlima Vågakaillen (942 m)]]
[[Picha:Norwegian Sea map.png|thumb|Ramani ya Bahari ya Norwei]]
'''Bahari ya Norwei''' ni [[bahari ya pembeni]] ya [[Atlantiki]] iliyopo upande wa kaskazini magharibi ya [[Norwei]]. Inapatikana baina ya [[Bahari ya Kaskazini]] na [[Bahari ya Greenland]]. Inaunganishwa na Bahari Atlantiki upande wa magharibi na upande wa mashariki kaskazini iko [[Bahari ya Barents]].<ref name="bse">[http://bse.sci-lib.com/article082535.html Norwegian Sea], [[Great Soviet Encyclopedia]] (in Russian)</ref><ref name="brit">[http://www.britannica.com/EBchecked/topic/420384/Norwegian-Sea Norwegian Sea], Encyclopædia Britannica on-line</ref>