Bahari ya Norwei : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Vågakaillen nattlys.JPG|thumb|right|[[Milima]] ya [[visiwa]] vya [[Lofoten]] vilivyopo mbele ya pwani laya Norwei pamoja na [[mlima Vågakaillen]] ([[mita]] 942 m).]]
[[Picha:Norwegian Sea map.png|thumb|[[Ramani]] ya Bahari ya Norwei.]]
'''Bahari ya Norwei''' ni [[bahari ya pembeni]] ya [[Atlantiki]] iliyopo upande wa [[kaskazini]] [[magharibi]] ya [[Norwei]]. Inapatikana baina ya [[Bahari ya Kaskazini]] na [[Bahari ya Greenland]]. Inaunganishwa na Bahari Atlantiki upande wa magharibi na upande wa [[mashariki]] kaskazini iko [[Bahari ya Barents]].<ref name="bse">[http://bse.sci-lib.com/article082535.html Norwegian Sea], [[Great Soviet Encyclopedia]] (in Russian)</ref><ref name="brit">[http://www.britannica.com/EBchecked/topic/420384/Norwegian-Sea Norwegian Sea], Encyclopædia Britannica on-line</ref>
 
[[Kina]] cha Bahari ya Norwei ni kikubwakirefu, kwa [[wastani]] [[kilomita]] 2. Chini yake kuna akiba za [[mafuta ya petroli]] na [[gesi asilia]] ambakoambazo Norwei imefaidi tangu mwaka [[1993]].
 
Kabla ya kugunduliwa kwa gesi asilia matumizi ya [[uchumi|kiuchumi]] ya bahari hii ilikuwayalikuwa hasa kwa njia ya [[uvuvi]]. [[Pwani]] za Bahari ya Norwei huwa na [[samaki]] wengi wanaokujawanaofika hapahuko kuzaa kutoka Atlantiki ya Kaskazini. <ref name = "Wefer">{{cite book| last1 = Wefer| first1 = Gerold| last2 = Lamy| first2 = Frank| title = Marine Science Frontiers for Europe| url = https://books.google.com/?id=wC7CF9Bd5CoC&pg=PA32| year = 2003| publisher = Springer Science & Business Media| isbn = 978-3-540-40168-1| pages = 32–35 }}</ref> Lakini idadi ya samaki imepungua kutokana kwa kuzidi kwa uvuvi unaotumia vifaa vya kisasa.<ref name="Stokke">{{cite book| last = Stokke| first = Olav Schram| title = Governing High Seas Fisheries: The Interplay of Global and Regional Regimes| year = 2001| publisher = Oxford University Press on Demand| isbn = 978-0-19-829949-3| page = 241 }}</ref>
 
[[Mkondo wa Atlantiki ya Kaskazini]] hufikishihufikisha [[maji]] vuguvugu yasiyoweza kupoa mno, hivyo sehemu hii ya bahari haiwezi kuganda hata wakati wa [[baridi]].
 
==Majereo==
Mstari 16:
 
{{coord|69|N|0|E|type:waterbody_dim:1000km_region:XZ|display=title}}
{{mbegu-jio-Ulaya}}
 
[[Category:Atlantiki]]
[[Category:Jiografia ya Norwei]]