Monterrey, Nuevo León : Tofauti kati ya masahihisho

no edit summary
d (Bot: Migrating 1 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q81033 (translate me))
No edit summary
|website = [http://www.monterrey.gob.mx/ www.monterrey.gob.mx]
}}
'''Monterrey''' (montɛˈrei) ndiyo mji mkuu na mji mkubwa katika jimbo la [[Nuevo León]] nchini [[Meksiko]]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2005, mji una wakazi wapatao 1,133,814 wanaoishi katika mji huu. Eneo lake ni 860.70 [[Kilomita ya mraba|km²]].
 
Ni mji muhimu wa biashara na viwanda.