Bahari ya Kiarabu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'right|250px|thumb|Bahari ya Kiarabu thumb|ramani ya Bahari ya Kiarabu '''Bahari ya Kiarabu''' (ar....'
 
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Kannurfort1.JPG|right|250px|thumb|Bahari ya Kiarabu]]
[[File:Locatie Arabische Zee.PNG|thumb|ramani ya Bahari ya Kiarabu]]
'''Bahari ya Kiarabu''' (ar.kwa [[Kiarabu]]: '''بحر العرب''' ''bahr al-arab'') ni sehemu ya [[kaskazini]] ya [[Bahari Hindi]] iliyopo baina ya [[Bara Arabu]] na [[Bara Hindi]]. Eneo lake ni takribani [[kilomita za mraba]] 4,82,000 ilhali [[kina]] kirefu ni [[mita]] 4,652.<ref>[https://www.britannica.com/place/Arabian-Sea Arabian Sea], tovuti ya britannica.com, iliangaliwa 13-09-2019</ref>.
 
Upande wa kaskazini inapakana na [[Pakistan]] na [[Iran]], upande wa [[magharibi]] na [[Omani]], [[Yemen]] na [[Somalia]], upande wa [[mashariki]] na [[Uhindi]]. [[Ghuba ya Aden]] iko upande wa magharibi-[[kusini]] na hapa [[mlangobahari]] wa [[Bab el Mandeb]] ni njia ya kufikakuingia [[Bahari ya Shamu]]. [[Ghuba ya Oman]] inaunganisha na [[Ghuba ya Uajemi]].
'''Bahari ya Kiarabu''' (ar. '''بحر العرب''' ''bahr al-arab'') ni sehemu ya kaskazini ya [[Bahari Hindi]] iliyopo baina ya [[Bara Arabu]] na [[Bara Hindi]]. Eneo lake ni takribani [[kilomita za mraba]] 4,82,000 ilhali kina kirefu ni mita 4,652.<ref>[https://www.britannica.com/place/Arabian-Sea Arabian Sea], tovuti ya britannica.com, iliangaliwa 13-09-2019</ref>.
 
[[Mpaka]] wa kusini ni [[mstari]] baina ya rasi ya Bara Hindi hadi [[Rasi Guardafui]] kwenye [[Pembe la Afrika]].
Upande wa kaskazini inapakana na [[Pakistan]] na [[Iran]], upande wa magharibi na [[Omani]], [[Yemen]] na Somalia, upande wa mashariki na [[Uhindi]]. Ghuba ya Aden iko upande wa magharibi-kusini na hapa [[mlangobahari]] wa [[Bab el Mandeb]] ni njia ya kufika [[Bahari ya Shamu]]. [[Ghuba ya Oman]] inaunganisha na [[Ghuba ya Uajemi]].
Mpaka wa kusini ni mstari baina ya rasi ya Bara Hindi hadi [[Rasi Guardafui]] kwenye [[Pembe la Afrika]].
 
[[Mto]] mkubwa unaoishia humu ni [[mto Indus]].
 
[[Visiwa]] si vingi, ni pamoja na [[Sokotra]] (Yemen), [[Kisiwa cha Masirah|Masirah]] (Omani), [[Lakshadweep]] (Uhindi) na [[kisiwa cha Astola|Astola]] (Pakistan).
 
==Tanbihi==
Line 17 ⟶ 18:
* [https://web.archive.org/web/20110523064712/http://wwf.panda.org/about_our_earth/ecoregions/arabian_sea.cfm Arabian Sea (World Wildlife Fund)]
* [https://books.google.com/books?id=g2m7_R5P2oAC&pg=PA135&lpg=PA135&dq=makran+temple&source=web&ots=or-vPp1YIv&sig=4InynKLLIXHAw-06P91gSZcOxi8&hl=en&sa=X&oi=book_result&resnum=9&ct=result#PPA134,M1 Al-Hind: Early Medieval India and the Expansion of Islam 7Th-11th ]
{{mbegu-jio-Asia}}
 
 
[[Category:Bahari ya Hindi]]