Kibla : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|Mihrabu sahili nchini Misri inaonyesha kibla File:Mecca Direction Equidistant.jpg|thumb|Ramani ya Dunia inayoonyesha upande wa kib...'
 
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Qurna20.JPG|thumb|Mihrabu sahili nchini [[Misri]] inaonyesha kibla.]]
[[File:Mecca Direction Equidistant.jpg|thumb|[[Ramani]] ya Dunia inayoonyesha upande wa kibla kwakutoka pande zote.]]
'''Kibla''' (ar.kutoka [[Kiarabu]]: قبلة ''qiblah'' kwa maana ya "mwelekeo") ni neno la [[Kiarabuneno]] la kutaja mwelekeo wa [[sala]] katika [[dini]] ya [[Uislamu]]. [[Mwislamu]] anatakiwa kusali mara [[tano]] kila [[siku]] akitazama upande wa [[Makka]].
 
[[Misikiti]] huwa na kidaka kinachoitwa [[mihrabu]] kwenye [[ukuta]]. Mihrabu inaonyesha upande wa kibla.
 
Katika [[historia]] ya Uislamu kibla ya kwanza kilielekeailielekea [[Yerusalemu]]. Kilibadilishwa kwa njia ya [[ufunuo]] mpyempya kuelekea [[hekalu]] yala [[Kaaba]] [[Mji|mjini]] Makka.
 
[[Category:Uislamu]]