Hali maada : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Four Fundamental States of Matter.png|thumb|right|370px|Hali nne za maada. Kuanzia juu kulia: [[mango]], [[kiowevu]], [[plasma]] na [[gesi]], zikiwa zimewakilishwa na barafu, tone la maji, mzingo umeme na hewa iliyozunguka mawingu.]]
[[Picha:Ice Encased Trees and Bushes in Winter.jpg|thumb|180px|[[Maji]] katika hali [[mango]] ni [[barafu]] au [[theluji]]]]
[[Picha:Fjord1.JPG|thumb|180px|Maji katika hali kiowevu jinsi tunavyoyajua kila siku: majimaji (isipokuwa mlimani huko nyuma ni mango)]]
[[Picha:Kochendes wasser02.jpg|thumb|180px|Mvuke ya maji hauonekani lakini ni kile kinachojaza mapovu ndani ya maji yanayochemka]]
'''Hali ya maada''' katika [[fizikia]] ni muundo jinsi [[maada]] hutokea katika hali mbalimbali, ama kama [[elementi]] (dutu tupu) au kama [[kampaundi]] (dutu za mchanganyiko).
 
Hali nne za maada ambazo huonekana katika maisha yetu ya kila siku ni [[mango]], [[kiowevu]], [[plasma]] na [[gesi]].
 
[[Duniani]] kwa kawaida kuna hali [[tatu]] za maada:
Line 13 ⟶ 16:
Hali za maada hutofautiana jinsi vipande vidogo ndani ya dutu yaani [[atomu]] au [[molekuli]] zake zahusiana.
 
Katika '''hali mango''' zakaazinakaa pamoja kila atomu mahali pake. Tunasema: Dutu ni imara. Dutu katika hali hii ina [[umbo]], [[mjao]] na [[uzani]] maalumu.
Yaani maada katika hali ya mango huchukua ujazo na umbo lisilobadilika, pamoja na chembe zake ambazo ni [[atomu]], [[molekuli]] na [[ioni]] zikiwa zimeshikamana kwa pamoja katika eneo moja.
 
Katika '''hali kiowevu''' atomu zina nafasi ya kuachana na kubadilishana mahali. Tunasema dutu ni kama majimaji. Dutu katika hali hii ina mjao na uzani maalumu lakini haina umbo. Kiowevu chakubali kila umbo la chombo kinamomwagwa. Maada katika hali ya kiowevu huwa na ujazo usiobadilika, lakini huwa na umbo linalobadilikabadilika kutokana na chombo ilichowekwa. Chembe zake ziko karibukaribu lakini ziko huru.
 
Katika '''hali kiowevuya gesi''' atomu zinahazishikwi nafasipamoja, yazaelea kwa mwendo huria. kuachanaAtomu na kubadilishanamolekuli mahali.za Tunasemagesi dutuhuelekea nikusambaa kamana kukalia nafasi yote ambamo majimajizimewekwa. Dutu katika hali hii ina mjao na uzani maalumu lakini haina umbo wala mjao kamili. KiowevuMaada chakubalikatika kilahali ya gesi ina ujazo pamoja na umbo laambalo hubadilikabadilika, vyote vikijibadilisha ili kujaza chombo kinamomwagwailichowekwa. Chembe zake haziko karibukaribu wala kukaa mahali pamoja bali huwa huru zikizungukazunguka katika sehemu zilipowekwa.
 
Maada katika hali ya plasma huwa na [[umbo]] na [[ujazo]] unaobadilika na pia huwa na atomu zisizo na chaji pamoja na idadi kadha ya ioni na [[elektroni]], zote zikiwa na uwezo wa kusogea kwa uhuru.
Katika '''hali ya gesi''' atomu hazishikwi pamoja, zaelea kwa mwendo huria. Atomu na molekuli za gesi huelekea kusambaa na kukalia nafasi yote ambamo zimewekwa. Dutu katika hali hii ina uzani lakini haina umbo wala mjao kamili.
[[File:Stohrem.jpg|thumb|right|Mango fuwele: kielelezo cha kiatomu cha [[Strontium titanate]]. Zilizo angavu ni atomu za [[strontium]] na nyeusi ni za [[titanium]].]]
 
==Mfano wa maji==