Ian Donald : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Ian Donald CBE FRFPSGlas FRCOG FRCP''' ([[27 DesembaLiskeard]], [[191027 Desemba]] huko [[Liskeard1910]] - [[19 Juni]] [[1987]]) alikuwa [[daktari]] wa [[Uingereza]] na alikuwa mashuhuri sana kwa kuanzisha [[kipimo]] cha ''Ultrasound'' katika [[njia za [[uzazi]]. Donald alikuwa Profesa wa Regius wa [[Mimba]] na [[Uzazi]] katika [[Chuo Kikuu]] cha [[Glasgow]]. Kazi ya Donald ilikuwa na safu ya ushirikiano wa ajabu kati ya wauguzi na wahandisi ambao walielekeza nguvu nyingi katika kujenga vyombo vya kuwezesha uchunguzi wa mtoto ambaye hajazaliwa ambayo mwishowe ilimwezesha kujenga mashine ya ''ultrasound'' ya kwanza ulimwenguni.
 
Donald alikuwa Profesa wa Regius wa [[Mimba]] na [[Uzazi]] katika [[Chuo Kikuu cha Glasgow]].
 
Kazi ya Donald ilikuwa na safu ya ushirikiano wa ajabu kati ya wauguzi na wahandisi ambao walielekeza nguvu nyingi katika kujenga vyombo vya kuwezesha uchunguzi wa mtoto ambaye hajazaliwa ambayo mwishowe ilimwezesha kujenga mashine ya ''ultrasound'' ya kwanza ulimwenguni.
{{mbegu-mtu}}
 
{{mbegu-mtumwanasayansi}}
{{BD|1910|1987}}
[[Jamii:Wanabiolojia wa Uingereza]]