Chavulio : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Chavulio''' ni sehemu ya stameni, ambayo ni sehemu ya kiume ya ua.Sehemu hii ya ua hubeba mbelewele ambazo katika uzazi wa ua huungana na chem...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 14:01, 15 Septemba 2019

Chavulio ni sehemu ya stameni, ambayo ni sehemu ya kiume ya ua.Sehemu hii ya ua hubeba mbelewele ambazo katika uzazi wa ua huungana na chembekike za ua ili kuunda mbegu za mmea husika. Sehemu hii hushikiliwa na filamenti ambayo imejishikiza katika mrija wa stameni.

Stameni ya ua ikiwa pamoja na chavulio lake.