Stameni : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|right|250px|Stameni za ua ''[[Hippeastrum'' lenye filamenti nyeupe pamoja na filamenti zilizojotokeza zikiwa zimebeba...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 14:10, 15 Septemba 2019

Stameni ni sehemu ya kiume ya ua ambayo huundwa na filamenti pamoja na chavulio.Sehemu hii ya ua ndiyo izalishayo mbelewele kwa ajili ya utungishaji katika ua.

Stameni za ua Hippeastrum lenye filamenti nyeupe pamoja na filamenti zilizojotokeza zikiwa zimebeba mbelewele.