Pistili : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|Maua ya ''[[Hippeastrum'' yakionesha stameni,staili na stigma.]] Image:Amaryllis stigma.jpg|thumb|right|Stigma pa...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 14:27, 15 Septemba 2019

Pistili ni sehemu ya kike ya ua ambayo huwa na sehemu kuu tatu ambazo ni stigma,staili pamoja na ovari mabazo ndani yake hupatikana chembekike za mmea.Eneo hili la ua ndilo linalofanya kazi ya kupokea mbelewele kutoka katika sehmu ya kiume ya mmea ambayo ni chavulio ambazo hupokelewa katika stigma. Staili hutukmika katika kusafirishia mbelewele hizo ili kuzifikisha katika ovari ambako utungishaji hutokea.

Maua ya Hippeastrum yakionesha stameni,staili na stigma.
Stigma pamoja na staili za ua Hippeastrum.