Pistili : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|Maua ya ''[[Hippeastrum'' yakionesha stameni,staili na stigma.]] Image:Amaryllis stigma.jpg|thumb|right|Stigma pa...'
 
No edit summary
 
Mstari 1:
[[File:Hippeastrum-1.jpg|thumb|Maua ya ''[[Hippeastrum]]'' yakionesha [[stameni]], [[staili]] na [[stigma]].]]
[[Image:Amaryllis stigma.jpg|thumb|right|Stigma pamoja na staili za ua ''[[Hippeastrum]]''.]]
'''Pistili''' ni sehemu ya kike ya [[ua]] ambayo huwa na sehemu kuu [[tatu]] ambazo ni: [[stigma]], [[staili]] pamoja na [[ovari]] mabazoambazo ndani yake hupatikana [[chembekike]] za [[mmea]].

Eneo hili la ua ndilo linalofanya kazi ya kupokea [[mbelewele]] kutoka katika sehmu ya kiume ya mmea ambayo ni [[stameni|chavulio]] ambazo hupokelewahupokewa katika stigma. Staili hutukmikahutumika katika kusafirishia mbelewele hizo ili kuzifikisha katika [[ovari]] ambakoambamo [[utungishaji]] hutokea.
 
{{mbegu-biolojia}}
[[Jamii:Uzazi]]
[[Jamii:Mimea]]