Mijin : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Mijin''' anatajwa kati ya Wakristo wa kwanza kuuawa kwa ajili ya imani yake barani Afrika (180 hivi). Ni kati ya wafiadini wa [...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 14:46, 15 Septemba 2019

Mijin anatajwa kati ya Wakristo wa kwanza kuuawa kwa ajili ya imani yake barani Afrika (180 hivi).

Ni kati ya wafiadini wa Madauros (karibu na M'Daourouch, leo nchini Algeria), pamoja na Namfamo, Sanami na Luchíta[1].

Tangu kale wanaheshimiwa kama watakatifu kadiri ya barua ya Masimo wa Madaura kwa Augustino wa Hippo.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 18 Desemba.

Tazama pia

Tanbihi

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.