Soweto : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 2:
[[Picha:Soweto township.jpg|thumb|Mtaa wa vibanda katika Soweto]]
[[Picha:Mandela House, Soweto.JPG|thumb|Nyumba alipokaa Nelson Mandela 1946 - 1962 pale Soweto, Vilakazi Street]]
'''Soweto''' ni sehemu ya [[jiji]] la [[Johannesburg]], [[Afrika Kusini]]. Jina ni kifupi cha '''Southwestern townships''' yaani "[[mapambizo]] ya kusini-magharibi". Yalianzishwa wakati wa [[apartheid]] kama makazi kwa Waafrika pekee kwa hiyo kutazamiwa kuwa "mapambizo meusi" ya Johannesburg.
 
[[Jina]] hilo ni [[kifupi]] cha '''Southwestern townships''' yaani "[[mapambizo]] ya [[kusini]]-[[magharibi]]". Hayo yalianzishwa wakati wa [[apartheid]] kama makazi ya [[Waafrika]] pekee, na kwa hiyo yalitazamwa kuwa "mapambizo meusi" ya Johannesburg.
Kati ya 1983 na 2002 Soweto ilikuwa manisipaa ya pekee, baadaye imekuwa tena sehemu ya jiji la Johannesburg.
 
Kati ya miaka [[1983]] na [[2002]] Soweto ilikuwa [[manisipaa]] ya pekee, baadaye imekuwa tena sehemu ya jiji la Johannesburg.
Wakati wa sensa ya 2008 idadi ya wakazi ilikuwa milioni 1.3 <ref>{{cite web|url=http://population.mongabay.com/population/south-africa/953781/soweto|title=Population of Soweto, South Africa|website=Mongabay.com}}</ref> na hii inalingana na theluthi moja ya wakazi wote wa jiji.
 
Wakati wa [[sensa]] ya [[mwaka]] [[2008]] [[idadi]] ya wakazi ilikuwa [[milioni]] 1.3 <ref>{{cite web|url=http://population.mongabay.com/population/south-africa/953781/soweto|title=Population of Soweto, South Africa|website=Mongabay.com}}</ref> na hii inalingana na [[theluthi]] [[moja]] ya wakazi wote wa jiji hilo.
Ndani ya Soweto kuna vitongoji mbalimbali, idadi inatajwa mara kuwa 29<ref>[http://www.saweb.co.za/townships/township/gauteng/soweto.html Soweto], tovuti ya saweb.co.za, iliangaliwa Septemba 2019</ref>, mara 34<ref>{{cite web|url=http://upetd.up.ac.za/thesis/available/etd-08262004-130507/unrestricted/02chapter2.pdf|title=Background to the study area: Soweto|year=2004|publisher=[[University of Pretoria]]|accessdate=2009-11-16}}</ref>.
Vingine ni maeneo maskini sana, hata mitaa ya vibanda; vingine vina nyumba nzuri.
 
Ndani ya Soweto kuna vitongoji mbalimbali, idadi inatajwa mara kuwa 29<ref>[http://www.saweb.co.za/townships/township/gauteng/soweto.html Soweto], tovuti ya saweb.co.za, iliangaliwa Septemba 2019</ref>, mara 34<ref>{{cite web|url=http://upetd.up.ac.za/thesis/available/etd-08262004-130507/unrestricted/02chapter2.pdf|title=Background to the study area: Soweto|year=2004|publisher=[[University of Pretoria]]|accessdate=2009-11-16}}</ref>. Kati yake, vingine ni maeneo maskini sana, hata mitaa ya vibanda; vingine vina [[nyumba]] nzuri.
Soweto ilikuwa kitovu cha upinzani wa wanafunzi dhidi ya apartheid kwenye mwaka 1976.
 
Soweto ilikuwa [[kitovu]] cha upinzani wa [[wanafunzi]] dhidi ya apartheid kwenye mwaka [[1976]].
 
==Tanbihi==
<references/>
 
==Viungo vya Nje==
{{Commons category}}
 
* [https://web.archive.org/web/20080820073513/http://www.sowetouprisings.com/ Soweto uprisings.com], an extensive map mashup with info on the events on 16
* [http://southafrica.usembassy.gov/uploads/k2/Bo/k2BoZZjDXZEJ04WRk1D-Gg/news_obama5.jpg Senator for Illinois, Barack Obama, at the Hector Pieterson Museum in August 2006]
* [http://audio.theguardian.tv/sys-audio/Guardian/audio/2006/06/13/antoinette.mp3 Guardian Unlimited audio recording of Antoinette Sithole on the Soweto uprising]
* [https://archive.org/details/linktv_soweto20070321 Soweto Uprising (2007) at the [[Internet Archive]]]
* [http://news.bbc.co.uk/onthisday/hi/dates/stories/june/16/newsid_2514000/2514467.stm BBC video of the Soweto uprisings]
 
===Kujisomea===
Line 38 ⟶ 29:
* French, Kevin John, James Mpanza and the Sofasonke Party in the development of local politic in Soweto, unpublished M.A. dissertation, University of the Witwatersrand, Johannesburg, 1983.
 
==Viungo vya Nje==
{{Commons category}}
* [https://web.archive.org/web/20080820073513/http://www.sowetouprisings.com/ Soweto uprisings.com], an extensive map mashup with info on the events on 16
* [http://southafrica.usembassy.gov/uploads/k2/Bo/k2BoZZjDXZEJ04WRk1D-Gg/news_obama5.jpg Senator for Illinois, Barack Obama, at the Hector Pieterson Museum in August 2006]
* [http://audio.theguardian.tv/sys-audio/Guardian/audio/2006/06/13/antoinette.mp3 Guardian Unlimited audio recording of Antoinette Sithole on the Soweto uprising]
* [https://archive.org/details/linktv_soweto20070321 Soweto Uprising (2007) at the [[Internet Archive]]]
* [http://news.bbc.co.uk/onthisday/hi/dates/stories/june/16/newsid_2514000/2514467.stm BBC video of the Soweto uprisings]
 
{{Mbegu-jio-AfrikaKusini}}
 
[[jamii:Johannesburg]]