Ghuba ya Biskaya : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa umeelekezwa kwenda Ghuba ya Biskaya
Tag: New redirect
 
Removed redirect to Ghuba ya Biskaya
Tag: Removed redirect
Mstari 1:
#REDIRECT [[ghubaPicha:Bay of Biscay map.svg|300px|thumb|Ghuba ya Biskaya]]
'''Ghuba ya Biskaya''' (ing. ''Bay of Biscay'') ni [[ghuba]] kubwa ya [[Atlantiki]] ya kaskazini-magharibi inayopakana na [[Ufaransa]] na [[Hispania]]. Jina latokana na nchi ya [[Wabaski]] wanaoishi pande zote mbili za mpaka wa nchi hizi mbili.
 
Ghuba ya Biskaya inajulikana kwa [[dhoruba]] kali na mawimbi makubwa yaliyosababisha ajali nyingi za meli. Siku hizi usalama umeborshwa kwa msaada wa teknolojia ya kisasa.
 
[[Jamii:Atlantiki]]