Bahari ya Andamani : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '300px|thumb|Bahari ya Andamani kando la Ghuba ya Bengali '''Bahari ya Andamani''' (ing. ''Andaman Sea'') ni bahari ya pe...'
 
No edit summary
Mstari 3:
Iko kando ya [[Ghuba ya Bengali]].
 
Mpaka nayo ni safu ya [[visiwa vya Andamani na Nikobari]] upande wa magharibi. Upande wa mashariki Bahari ya Andamani inapakana na nchi zifuatazo: [[Myanmar]] (au Burma), [[Uthai]] na [[Malaysia]]. Upande wa kusini kipi kisiwa cha [[Sumatra]] ([[Indonesia]]).
 
Eneo lake ni km<sup>2</sup> 797,000. Urefu kutoka kaskazini hadi kusini ni mnamo kilomita 1,200, upana wake hauzidi km 650. Kina cha wastani ni mita 870, lakini kimafikia hadi mita 4,180. Halijoto ya maji kwenye uso wa bahari hucheza baina ya sentigredi 27.5 hadi 30.