Ghuba ya Biskaya : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Removed redirect to Ghuba ya Biskaya
Tag: Removed redirect
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Bay of Biscay map.svg|300px|thumb|Ghuba ya Biskaya]]
'''Ghuba ya Biskaya''' (ing.kwa [[Kiingereza]]: ''Bay of Biscay'') ni [[ghuba]] kubwa ya [[Atlantiki]] ya [[kaskazini]]-[[magharibi]] inayopakana na [[Ufaransa]] na [[Hispania]]. Jina latokana na nchi ya [[Wabaski]] wanaoishi pande zote mbili za mpaka wa nchi hizi mbili.
 
[[Jina]] linatokana na nchi ya [[Wabaski]] wanaoishi pande zote [[mbili]] za mpaka wa nchi hizo.
Ghuba ya Biskaya inajulikana kwa [[dhoruba]] kali na mawimbi makubwa yaliyosababisha ajali nyingi za meli. Siku hizi usalama umeborshwa kwa msaada wa teknolojia ya kisasa.
 
Ghuba ya Biskaya inajulikana kwa [[dhoruba]] kali na [[mawimbi]] makubwa yaliyosababisha [[ajali]] nyingi za [[meli]]. Siku hizi [[usalama]] umeborshwaumeboreshwa kwa msaada wa [[teknolojia]] ya kisasa.
{{mbegu-jio-Ulaya}}
[[Jamii:Atlantiki]]
[[Jamii:Jiografia ya Hispania]]
[[Jamii:Jiografia ya Ufaransa]]