Bahari ya Andamani : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Bay_of_Bengal_map.png|300px|thumb|Bahari ya Andamani kando laya Ghuba ya Bengali.]]
'''Bahari ya Andamani''' (ing.kwa [[Kiingereza]]: ''Andaman Sea'') ni [[bahari ya pembeni]] ya [[Bahari Hindi]].
Iko kando ya [[Ghuba ya Bengali]].
 
Mpaka nayo ni safu ya [[visiwa vya Andamani na Nikobari]] upande wa [[magharibi]]. Upande wa [[mashariki]] Bahari ya Andamani inapakana na nchi zifuatazo: [[Myanmar]] (au Burma), [[Uthai]] na [[Malaysia]]. Upande wa [[kusini]] kipikipo [[kisiwa]] cha [[Sumatra]] ([[Indonesia]]).
 
Eneo lake ni km<sup>2</sup> 797,000. Urefu kutoka kaskazini hadi kusini ni mnamo kilomita 1,200, upana wake hauzidi km 650. Kina cha wastani ni mita 870, lakini kimafikia hadi mita 4,180. Halijoto ya maji kwenye uso wa bahari hucheza baina ya sentigredi 27.5 hadi 30.
 
Eneo lake ni [[Km²|km<sup>2</sup>]] 797,000. [[Urefu]] kutoka [[kaskazini]] hadi kusini ni mnamo [[kilomita]] 1,200, [[upana]] wake hauzidi km 650. [[Kina]] cha [[wastani]] ni [[mita]] 870, lakini kimafikiakinafikia hadi mita 4,180. [[Halijoto]] ya [[maji]] kwenye uso wa [[bahari]] hucheza baina ya [[sentigredi]] 27.5 hadi 30.
 
== Viungo vya Nje ==
* [https://web.archive.org/web/20170305113754/http://marine.myanmarbiodiversity.org/ Myanmar Marine Biodiversity Atlas Online]
{{mbegu-jio-Asia}}
 
[[Jamii:Bahari ya Hindi]]