Afrika ya Mashariki ya Kijerumani : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Holder (majadiliano | michango)
d corr using AWB
Mstari 63:
Koloni hili lilianzishwa na mfanyabiashara Mjerumani [[Karl Peters]] mwaka 1885 kwa niaba ya "[[Kampuni ya Kijerumani kwa Afrika ya Mashariki]]".
 
Peters, aliyewahi kusoma [[chuo]] Uingereza, aliona [[wivu]] juu ya ukoloni wa Uingereza, akiamini ya kwamba Ujerumani ungestahili nafasi hiyo pia. Hivyo alianza kudai koloni katika mikutano, akaanzisha "[[Shirika kwa Ukoloni wa Kijerumani ]]" mwaka [[1884]] iliyokuwa kitangulizi cha kampuni.
 
Shirika hii ilimtuma pamoja na wenzake wawili kwenda Afrika na kutafuta nafasi ya kuanzisha koloni. Peters alifika [[Zanzibar]] alipoambiwa na [[konsuli]] ya Ujerumani ya kwamba hawezi: serikali ya nyumbani haikubali mipango yake. Hivyo alivuka [[Bara|barani]] akapita kanda la eneo la Kizanzibari kwenye [[pwani]] na kutembelea [[chifu|machifu]] na [[Sultani|masultani]] barani.