Kwaresima : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Holder (majadiliano | michango)
d corr using AWB
Mstari 37:
Kuna mpangilio kabambe wa masomo ya [[Misa]], hasa ya [[Jumapili|Dominika]], ili wote wafuate hatua kuu za [[historia ya wokovu]] (somo la kwanza) na kuchimba ukweli wa ubatizo (mwaka A), [[agano]] na [[fumbo]] la Kristo (mwaka B) na [[upatanisho]] (mwaka C). Kwa njia hiyo tunatangaziwa jinsi Mungu anavyotuokoa; pia upande wetu kuanzia Dominika ya kwanza tunajielewa kuwa watu vishawishini ambao tunapaswa kushinda kwa kumfuata Yesu, si [[Adamu]]: kwenda jangwani ili kumtafuta Bwana na matakwa yake.
 
Kilele cha safari ya Kwaresima ni [[Dominika ya Matawi]], tunapoingia Yerusalemu pamoja na Yesu anayekwenda kufa na kufufuka kwa ajili yetu. [[Liturujia ]]ya siku hiyo ina mambo mawili: kwanza shangwe (katika maandamano), halafu huzuni (kuanzia masomo, ambayo kilele chake ni Injili ya Mateso).
 
Hata hivyo, Wakristo huendelea na mfungo hadi Ijumaa Kuu wanapoadhimisha mateso na kifo cha Yesu Kristo msalabani. Juma linaoanza katika Dominika ya Matawi huitwa Juma Kuu na siku tatu za mwisho kabla ya Dominika ya Pasaka hupewa hadhi hiyohiyo kwa kutajwa kama "Alhamisi Kuu", "Ijumaa Kuu" na "Jumamosi Kuu"). Siku ya Alhamisi Kuu inafanyika ibada ya kumbukumbu ya Yesu kufanya [[karamu ya mwisho]] na kuwaosha mitume wake miguu.