Tumbaku : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Holder (majadiliano | michango)
d corr using AWB
Mstari 12:
 
Matumizi ya tumbaku nje ya kuvuta (kutafuna, kunusa) yamegundunduliwa kupunguza hatari za kiafya lakini inaleta matatizo yaleyale ya kutegemea nikotini na kutoachana nayo.
[[Picha:KarteTabakernteWelt.png|thumbnail|right|Nchi zilizolima zaidi ya tani 100,000 za tumbaku mwaka 2000 ]]
==Kilimo==
Kilimo cha tumbaku ni tawi muhimu la uchumi kwa nchi mbalimbali. Kilwa mavuno ya duniani ni takriban tani milioni 6.7. Wazalishaji wakuu ni [[China]] (39.6%), [[Uhindi]] (8.3%), [[Brazil]] (7.0%) na [[Marekani]] (4.6%). <ref>US Census Bureau-Foreign Trade Statistics, (Washington DC; 2005)</ref> Tanzania ni kati ya nchi kumi za kwanza zinazolima tumbaku inavuna asilimia 1.6 ya tumbaku ya dunia.<ref>http://www.factfish.com/statistic-country/tanzania/tobacco,+production+quantity</ref>