Majilio : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
+Video |
d corr using AWB |
||
Mstari 16:
Urefu wa Majilio unategemea siku inayoangukia Noeli, kwa kuwa ni lazima yawe na [[Jumapili]] nne. Hivyo basi yanaanza kwa [[Masifu ya Jioni]] ya kwanza ya Jumapili inayoangukia tarehe [[30 Novemba]] au tarehe ya jirani zaidi; yanakwisha kabla ya Masifu ya Jioni ya kwanza ya Noeli.
Kwa jumla ni kipindi cha [[toba]]: [[rangi]] yenyewe ni [[zambarau]]; haziruhusiwi sherehe za fahari; [[ala]] za [[muziki]] na maua vinaweza kutumika kwa kiasi tu. Masharti hayo yanalegezwa katika Jumapili ya tatu kwa sababu ya [[furaha
Katika kipindi hicho tunaadhimisha [[tumaini]] la [[Israeli]] lililotimizwa Yesu alipokuja katika [[unyenyekevu]] wa [[umbile]] letu; pia tunangojea arudi kwa utukufu. Kama alivyotekeleza [[ahadi]] mara ya kwanza, atazitekeleza pia mara ya pili, ingawa kwake miaka elfu ni kama siku moja tu. Kati ya majilio hayo mawili, Bwana anatujilia mfululizo kifumbo katika [[sakramenti]] (hasa [[ekaristi]]) na katika maisha ya kila siku kwa njia ya matukio na watu (hasa [[maskini]]). Basi tunapaswa kuwa tayari daima kumpokea ili siku ya mwisho tukamlaki, naye atukaribishe kwenye [[uzima wa milele]]. Pia tunapaswa kumuomba aje kutukomboa, yeye aliye tumaini letu.
|