Global Positioning System : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Holder (majadiliano | michango)
d corr using AWB
Mstari 1:
[[Picha:ConstellationGPS.gif|thumb|350px|Satelaiti za GPS zinazozunguka Dunia; rangi ya buluu inaonyesha kupatikana kwa satelaiti kwa kipokezi kwenye kaskazini y Dunia, rangi nyekundu inaonyesha satelaiti zinazopotea nyuma ya upeo ambako hazipokelewi tena na kipokezi ]]
'''Global Positioning System''' ([[kifupi]]: '''GPS''', maana yake: '''Mfumo wa mwongozo kote duniani''') ni mfumo wa kupima na kutambua kwa makini kila mahali [[duniani]] ukitumia [[satelaiti]].