Mafuta (chakula) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
spam
Holder (majadiliano | michango)
d corr using AWB
Mstari 2:
'''Mafuta''' au '''shahamu''' ni sehemu za [[chakula]] pamoja na [[wanga]], [[protini]] na [[vitamini]]. Neno "fati" (kutoka [[Kiing.]] [[w:fat|fat]]) afadhali lizuiwe. Vyakula vilivyo na mafuta mengi ni k.m. [[parachichi|maparachichi]], [[karanga]], [[korosho|makorosho]], [[mbegu]] kama [[alizeti]] na [[siagi]].
 
[[Picha:Avocado with cross section edit.jpg|alt= parachichi|thumb| Parachichi ]]
Vyakula hivi humsaidia [[mtu]] kwa kumpatia [[joto]] hasa wakati wa [[baridi]], pia huchangia katika [[uzalishaji]] wa [[nishati]] na [[nguvu]] kwa ajili ya mwili na pia hufanya [[kazi]] mbalimbali katika [[mmeng'enyo wa chakula]] [[Tumbo|tumboni]].