Kalenda : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Holder (majadiliano | michango)
d corr using AWB
No edit summary
Mstari 7:
== Migawanyo asilia ya wakati ==
=== Mchana na usiku ===
Kwa watu wenguwengi duniani mabadiliko waya mchana na usiku ni utaratibu wa kwanza unaogawa wakati. Mchana na usiku pamoja inahesabiwa kama siku moja. Lakini kuna njia tofauti jinsi gani kuanza hesabu hiyo: asubuhi (mwanzo wa mchana) au jioni (mwanzo wa usiku) zilikuwa njia za kawaida za kuhesabu siku mpya. Tangu kupatikana kwa [[saa]] zinazonyeshazinazoonyesha masaa hata gizani ni saa sita usiku (katikati ya usiku) inayoangaliwa kuwa mwanzo wa siku mpya.
 
=== Awamu za mwezi ===
Mstari 13:
 
=== Majira kama msingi wa hesabu ya mwaka ===
Majira au badiliko la vipindi vinavyorudi vya joto na baridi au vya ukame na mvua zilikuwavilikuwa utaratibu mwingine ulioonekana kwa watu. Ila tu hesabu hii ilitegemea na mazingira na hali ya hewa katika eneo fulani.
 
Hasa katika nchi ambako majira yanatofautiana vikali na kufuata utaratibu wa kurudia hata mimea na wanyama hufuata mwendo wa majira. Katika mazingira kama hii imewezekana kutofautisha matokeo katika maisha kufuatana na idadi ya vipindi vya baridi au vya joto au vya mvua vilivyopita tangu tokeo fulani.