Konstantinopoli : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 75 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q16869 (translate me)
No edit summary
 
Mstari 1:
[[Picha:Konstantinopoli - Istanbul.jpg|thumb|350px|Konstantinopoli ya kale (nyekundu) pamoja na miji yake ya kando (kijani) ndani ya eneo la Istanbul ya leo]]
[[Picha:Konstantinopoli - Istanbul B.jpg|thumb|350px]]
'''Konstantinopoli''' (kwa [[Kigiriki]]: Κωνσταντινούπολις - ''Konstantinupolis'', yaani "mji wa Konstantino") ni [[mji]] ulioanzishwa na [[Wagiriki wa kale]] kwa [[jina]] la [[Bizanti]] mnamo [[660 KK]] ukapewa na [[Kaisari]] [[Konstantino]] jina lake mwenyewe na kufanywa [[mji mkuu]] wa [[Dola la Roma]] kuanzia mwaka [[330]] [[BK]].
 
Baadaye ukabaki mji mkuu wa [[Dola la Roma la Mashariki]] au [[milki ya Bizanti]] kati ya [[395]] hadi [[1453]].
Mstari 7:
Baada ya kutwaliwa na Waturuki [[Waosmani]] ulikuwa mji mkuu wa [[milki ya Osmani]] hadi [[1922]].
 
Mji ulianzishwa upande wa [[Ulaya]] wa [[mlangobahari]] wa [[Bosporus]] kati ya [[hori]] laya "pembe ya dhahabu" na [[Bahari ya Marmara]].
 
Leo hii mji huo wa Kituruki umevuka Bosporus ukienea hata upande wa [[Asia]].
 
Ulibadilishiwa jina mara kadhaa katika historia yake ndefu: Bizanti, Roma Mpya (kwa Kigiriki: Νέα Ῥώμη), Konstantinopoli, tena Bizanti, Stambul, halafu [[Istanbul]] (tangu mwaka [[1930]]).
 
Katika [[Ukristo]] ni muhimu kama makao ya [[Askofu]] wa pili kwa [[heshima]] kati ya Maaskofu wote [[duniani]], kadiri ya orodha iliyotolewa na [[Mtaguso Mkuu|mitaguso mikuu]] ya [[karne ya 4]].
 
{{mbegu-jio-Ulaya}}