Tokyo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 27:
[[File:Tokio population.svg|thumb|Idadi ya wakazi]]
 
'''Jiji la Tokyo''' (東京都) ni [[mji mkuu]] wa [[Japani]]. Takriban watu [[milioni]] 12 huishi katika [[jiji]] hilo ambao ni sawa 10[[%]] ya Wajapani wote. [[Rundiko la mji]] lina wakazi milioni 35 na ni rundiko kubwa [[duniani]].
 
Tokyo ni [[kitovu]] cha Japani upande wa [[biashara]], [[uchumi]] na [[siasa]].
 
Mahali pa jiji ni [[tambarare]] laya Kanto kando ya [[hori]] laya Tokyo.
 
== Historia ==
Awali Tokyo iliitwa "Edo". Wakati ule [[Kyoto]] ilikuwa mji mkuu rasmi na mahali pa [[Tenno]] au [[Kaisari]] wa Japani. Edo ilikuwa mwanzoni [[bandari]] ndogo tu. Ilianza kukua baada ya kuwa makao makuu ya Ma[[shogun]] waliokuwa [[Kiongozi|viongozi]] wa kijeshi katika Japani.
 
Katika [[karne ya 19]] [[Tenno Meiji]] alihamisha mji mkuu kwenda Edo iliyoitwa "Tokyo" yaani "mji mkuu wa mashariki". Mji ulikuwa na tayari mwishomwishoni wamwa [[karne ya 19]] ilikuwaulikuwa mji mkubwa wa pili duniani baada ya [[London]].
 
Tokyo iliharibiwa na [[moto]] katika [[historia]] yake, pia na matetemekjo[[matetemeko ya ardhi]] na [[mabomu]] wakati wa [[Vita Kuu ya Pili ya Dunia]]. Ilijengwa upya na kukua kuwa jiji kubwa duniani.
 
Ilikuwa mahali pa [[michezo]] ya [[Olimpiki]] ya mwaka [[1964]].
 
== Viungo vya nje ==