Boksiti : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Holder (majadiliano | michango)
d corr using AWB
No edit summary
 
Mstari 2:
[[File:140606 Les-Baux-12.jpg|thumb|Boksiti, Les Baux-de-Provence]]
 
'''BauxitiBoksiti''' au '''BoksitiBauxiti''' ni [[mtapo]] unaotumiwa kutengeneza [[alumini]]. Ni hasa hidroksidi ya alumini (Al<sub>2</sub>O<sub>3</sub>.3H<sub>2</sub>O) ikichanganywa na [[titani]], [[chuma]] au [[silikoni]].
[[Jina]] la Bauxiti limetokana na [[kijiji]] cha "Les Baux de Provence" katika [[Ufaransa]] ambako mtapo umegunduliwa mara ya kwanza. Leo hii huchimbwa hasa katika [[Australia]], [[Brazil]], [[Guinea]], [[Jamaika]] na [[India]].
 
Bauxiti ni msingi wa alumini na mambo yote yanayotengenezwa nayo. Kama [[metali]] imara na nyepesi alumini hutumiwa hasa kwa [[Ndege (uanahewa)|ndege]] na vyombo vingine vya [[usafiri]] lakini pia kwa ajili ya makopo, masanduku n.k. Matengenezo ya alumini kutokana na bauxiti huhitaji [[nishati]] nyingi hasa ya [[umeme]]. Kwa sababu hiyo viwanda vya alumini hujengwa karibu na vituo vya umeme na hii ni sababu ya kwamba nchi penye bauxiti haziwezi kufaidika na viwanda vyenyewe kama hawana umeme wa kutosha.
 
Matengenezo ya alumini kutokana na bauxiti huhitaji [[nishati]] nyingi hasa ya [[umeme]]. Kwa sababu hiyo [[viwanda]] vya alumini hujengwa karibu na vituo vya umeme na hii ni sababu ya kwamba nchi zenye bauxiti haziwezi kufaidika na viwanda vyenyewe kama hawana umeme wa kutosha.
{{mbegu-kemia}}
[[Jamii:Madini]]