Rasi Hoorn : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 3:
'''Rasi Hoorn''' (kwa [[Kihispania]] ''Cabo de Hornos'', kwa [[Kiingereza]] ''Cape Horn'') ni [[rasi]] katika [[Chile]] kwenye sehemu ya [[kusini]] kabisa ya [[Amerika Kusini]]. Ni mahali ambako [[maji]] ya [[Pasifiki]] na maji ya [[Atlantiki]] hukutana.
 
[[Jina]] latokanalinatokana na [[mji]] wa [[Hoorn]] katika [[Uholanzi]], kwa sababu walikuwa [[baharia|mabaharia]] kutoka [[mji]] ule waliochora rasi hii kwenye [[ramani]] mara ya kwanza na kuiteulia jina.
 
Rasi Hoorn ni [[ncha ya kusini]] ya [[funguvisiwa]] vyala [[Tierra de Fuegos]] (kwa Kiingereza ''fireland'') ambavyo ni [[kundi]] la [[visiwa]] linalozunguka sehemu ya kusini ya Amerika Kusini bara.
 
Kabla ya kujengwa kwa [[Mfereji wa Panama]] njia ya rasi Hoorn ilikuwa njia muhimu kwa [[meli]] kati ya [[bahari]] mbili. Mizigo mingi iliyoelekea [[Kalifornia]], Chile au [[Peru]] ilipita huko au kwenye [[mlangobahari wa Magellan]] uliopo takriban [[kilomita]] 120 upande wa [[kaskazini]].