Biashara : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Holder (majadiliano | michango)
d corr using AWB
Mstari 5:
* ''Biashara ya mtu binafsi:'' ni biashara inayomilikiwa na mtu mmoja. Mmiliki anaweza kuiendesha biashara hii yeye binafsi au pia anaweza kuwaajiri wafanyikazi kumsaidia. Mmiliki wa biashara ina [[dhima]] ya binafsi ya madeni inayodaiwa biashara.
* ''Biashara ya ushirikiano:'' ni aina ya biashara inayomilikiwa na watu wawili au zaidi kwa pamoja. Katika aina nyingi za ushirikiano , kila mmiliki ana dhima ya binafsi ya madeni yanayodaiwa biashara yao.
* ''Kampuni:'' ni aina ya biashara ambapo wamiliki wa biashara zenyewe hawana dhima ya kibinafsi ya madeni ya biashara yenyewe. Biashara inaweza kuwa ya kutafuta faida au isiwe ya kutafuta faida. Kampuni nyingi zinamilikiwa na wenye hisa na shughuli zake husimamiwa na [[bodi ya wakurugenzi,]], ambayo huwaajiri wasimamizi wa biashara yenyewe. Pia kuna [[kampuni zinazomilikiwa na serikali]] mbali na zile zinazomiliokiwa na watu binafsi.
* ''Vyama vya Ushirika:'' ni aina ya biashara ambayo pia kama kampuni wamiliki wake hawana dhima ya kibinafsi kwa madeni ya biashara ambayo lengo lake ni kutafuta faida au isiwe ya kutafuta faida. Vyama vya Ushirika hutofautiana na kampuni kwa kuwa vina wanachama, kinyume na wenye hisa katika kampuni, ambao hushirikishwa katika maamuzi ya chama chenyewe. Vyama vya ushirika kwa kawaida hugawanywa kama[[Vyama vya Ushirika vya wateja]] au [[Vyama vya Ushirika vya Wafanyikazi]] . Vyama vya ushirika ni mojawapo ya misingi wa itikadi ya [[demokrasia ya kiuchumi]].