Mawasiliano : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Holder (majadiliano | michango)
d corr using AWB
Mstari 49:
Aidha, [[matini]] zilizoandikwa zina vipengele vya mawasiliano kwa ishara kama vile [[mtindo]] wa kuandika, [[mpangilio]] wa maneno, au [[matumizi]] ya hisia. Neno lililounganisha maneno ya [[Kiingereza]] ya hisia (emote) na [[ikoni]] (icon), [[kihisishi]] (emoticon) ni ishara au [[muungano]] wa ishara zinazotumiwa kupitisha hisia katika maandishi.
 
Aina zingine za mawasiliano kama vile [[telegrafia]] huwa katika [[kategoria]] hii, ambapo ishara hupitishwa kutoka kwa mtu mmoja hadi mwingine kwa njia tofauti. Ishara hizi zinaweza kuwa [[viwakilishi]] vya maneno, vifaa au ma[[kadirio]] tu. Ma[[jaribio]] yameonyesha kwamba binadamu wanaweza kuwasiliana moja kwa moja kupitia njia hii <ref>[[Warwick, K, Gasson, M,]], Hutt, B, Goodhew, I, [[Kyberd, P,]], Schulzrinne, H na Wu, X: "Thought Communication and Control: A First Step using Radiotelegraphy", ''IEE Proceeedings on Communication,'' 151 (3), pp.185-189, 2004</ref> bila miondoko ya kimwili, toni ya sauti au maneno.
 
'''Kategoria na sifa'''
Mstari 116:
# [[Kiwango cha kisemantiki]] (utafiti wa uhusiano kati ya ishara na viashiria na yale vinayowasilisha).
 
Kwa hiyo, mawasiliano ni [[mwingiliano wa kijamii]] ambapo angalau vitu au watu wawili wanaotagusana hutumia seti moja ya ishara na seti moja ya kanuni za [[kielimu ishara]]. Sheria hizi zinazozingatiwa wakati mwingine huwa zinapuuza [[mawasiliano ambayo hutokea bila kupangiwa,]], yaliwemo [[mawasiliano ya mtu na nafsi yake]] kupitia kwa [[shajara]] au mazungumzo-nafsi, yote ambayo ni matukio ya sekondari yaliyofuatia kujifunza lugha katika maingiliano ya kijamii.
 
Katika mfano rahisi, habari au maudhui (mfano ujumbe katika [[lugha asilia)]] hutumwa katika njia fulani (kama [[lugha ya mazungumzo)]] kutoka kwa mtumaji / msemaji / [[mfumbaji]] kwa mahali maalum / mpokeaji / [[mfumbuaji.]] Katika njia changamano zaidi, msemaji na mpokeaji huwa wameunganishwa kwa wakati mmoja. Mfano mmoja wa mawasiliano ni kama [[tendo usemi.]] Namna ya kutafsiri ujumbe ya msemaji inaweza kuwa tofauti na ya msikilizaji kulingana na desturi na tamaduni za eneo walilomo, au jinsia; mambo ambayo yanaweza kuathiri ujumbe uliokusudiwa. Uwepo wa [["kelele za mawasiliano"]] katika njia inayotumiwa (ikiwa ni hewa, katika kesi hii), mapokezi na ufumbuaji wa ujumbe unaweza kuathiriwa, hivyo basi tendo usemi linaweza kutofikia matokeo yaliyotarajiwa. Tatizo moja la mfano huu wa kupakia-kutuma-kupokea-kupakua ni kwamba mchakato wa kupakia na kupakua huashiria kwamba mtumaji na mpokeaji, kila mmoja ana kitu kinachofanya kazi kama [[kitabu cha kodi]] , na kwamba vitabu hivi viwili vya kodi vinafanana kwa kiasi ikiwa si kabisa. Ingawa kitu kama vitabu vya kodi kimetajwa na mfano huu, havijawakilishwa kwenye sehemu yoyote ya mfano huu, jambo ambalo linaibua matatizo mengi ya kuelewa.
Mstari 125:
 
== Bila mawasiliano ya watu ==
Mawasiliano katika mingi ya mitazamo yake hayajajifungia tu kwa [[binadamu]], au hata kwa [[sokwe.]] Kila [[mabadilishano ya habari]] kati viumbe vilivyo hai - yaani kubalishana kwa [[ishara]] kunakohusiha mtumaji na mpokeaji walio hai - kunaweza kuchukuliwa kama njia ya mawasiliano. Kwa hivyo, kuna uwanja mpana wa [[mawasiliano ya wanyama,]], ambayo yanahusisha mengi ya masuala katika [[ethnolojia.]] Pia wanyama waasili kama mwamba tumbawe wanaweza kuwasiliana. <ref> Witzany G, Madl P. (2009). Biocommunication of corals. International Journal of Integrative Biology 5 (3): 152-163.</ref> Katika ngazi ya kimsingi zaidi, kuna [[kupatiana ishara kati ya seli, mawasiliano ya seli,]], na mawasiliano ya kemikali kati ya viumbe asili kama [[bakteria,]], <ref> Witzany G (2008). Bio-Communication of Bacteria and their Evolutionary Roots in Natural Genome Editing Competences of Viruses. Open Evolution Journal 2: 44-54.</ref> na miongoni mwa [[mimea]] na [[himaya za kuvu]]. Michakato hii yote ya mawasiliano huhusisha mitagusani inayoshirikisha ishara zilizo na ratibu bainifu mbalimbali.
 
[[Mawasiliano ya wanyama]] ni [[tabia]] yoyote kwa upande wa mnyama mmoja iliyo na athari ya sasa au baadaye kwenye tabia ya mnyama mwingine. Bila shaka, mawasiliano ya binadamu yanaweza kujumlishwa kama mawasiliano ya wanyama yaliyoendelezwa. Utafiti wa mawasiliano ya wanyama, uitwao [[zoosemiotiki]] (zoosemiotics), tofauti na [[anthroposemiotiki]] (anthroposemiotics, utafiti wa mawasiliano ya binadamu) umechangia pakubwa katika ukuzaji wa [[etholojia]], [[biolojia-jamii]] na masomo ya [[uwezo wa mnyama wa kutambua]].