Manchester United F.C. : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d Masahihisho aliyefanya 197.250.225.81 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Flix11 Tag: Rollback |
d corr using AWB |
||
Mstari 524:
* Mkurugenzi wa Kibiashara: Richard Arnold
* Mkurugenzi mtendaji: Ed Woodward
* Wakurugenzi wasio watendaji: [[Bryan Glazer
'''Manchester United Football Club'''
Mstari 659:
Kufuatia uwekezaji kuimarisha klabu tena, jina lilibadilishwa na kuwa Manchester United, ingawa kulikuwa na hamu ya kupata uwanja uliokubalika. Wiki sita kabla ya mchuano wa kwanza wa United kuwania Kombe la FA Aprili 1909, Old Trafford ilitajwa kuwa nyumbani kwa Manchester United kufuatia ununuzi wa ardhi muhimu kwa takribani £ 60,000. Msanifumijengo Archibald Leitch aliajiriwa na mwenyekiti wa United John Henry Davies na kupewa bajeti ya £ 30.000 kwa ajili ya ujenzi. Mipango asilia ilionyesha kuwa uwanja ungefaa kujengwa kuhimili watu 100.000, ingawa idadi hiyo ilipunguzwa hadi 77,000. Licha ya hilo, rekodi ya mahudhurio ya 76,962 ilirekodiwa, ambayo hata sasa ni zaidi ya idadi rasmi inayokubalika katika uwanja huo. Ujenzi ulifanywa na Messrs Brameld na Smith wa Manchester. Katika ufunguzi wa uwanja, tiketi za kusimama ziligharimu peni sita, wakati viti ghali zaidi katika jukwaa kuu zililipiwa shilingi tano. Mchezo wa ufunguzi ulikuwa tarehe 19 Februari 1910 dhidi ya Liverpool FC, na wageni wakashinda kwa 4-3. Kama ilivyotokea, mabadiliko ya uwanja yalitokea wakati mwafaka zaidi - siku chache tu baada ya klabu kucheza mchuano wao wa mwisho ugani Bank Street, mojawapo ya jukwaa liliangushwa chini na dhoruba.<ref>{{Cite book |last=Murphy |first=Alex |title=The Official Illustrated History of Manchester United |year=2006 |publisher=Orion Books |location=London |isbn=0-7528-7603-1 |page=27 |chapter=1878-1915: From Newton Heath to Old Trafford }}</ref>
Kupigwa kwa bomu wakati wa [[Vita vya Pili vya Dunia
Marekebisho mengine yalitokea baadaye, yakianza na kuwekwa paa upande wa Stretford End kisha ikawekwa pande za North Stand na East Stand. Hata hivyo, mtindo wa zamani wa paa uliwazuia mashabiki wengi kutazama na hivyo, kupelekea kuboreshwa kwa paa hizo kuwa zilizoinuka na ambazo bado zipo katika uwanja huo leo. Stretford End lilikuwa jukwaa la mwisho kufanyiwa ukarabati wa kuinuliwa paa, kazi iliyokamilika kwa muda ufaao kuruhusu michuano ya msimu wa [[1993-94.]]<ref name="expansion">{{Cite web |url=http://www.manutdzone.com/oldtrafford/oldtrafford.htm |title=Old Trafford 1909-2006 |accessdate=21 Mei 2007 |publisher=ManUtdZone.com }}</ref>
Mstari 665:
Taa za uwanjani ziliwekwa kwa mara ya kwanza uwanjani katikati ya miaka ya 1950. Viunzi{{Convert|180|ft|m|sing=on}} vinne vikuu vilijengwa, kila kimoja kikiwa na taa 54. Mfumo mzima wa taa uliigharima klabu £ 40,000, na kutumika mara ya kwanza katika mechi ya tarehe 25 Machi 1957. Hata hivyo, taa mtindo zamani zilibomolewa mwaka wa 1987, na kubadilishwa na taa za kisasa zilizowekwa katika paa la kila jukwaa, zinadumu hadi leo.
Mwaka 1990, kufuatia janga la [[Hillsborough Disaster
Imekadiriwa kwamba kwa maendeleo zaidi kufanyiwa uwanja, hasa Southern Stand ambayo ndio hadi sasa ina daraka moja tu, gharama ya uboreshaji inaweza kukaribia £ million 114 ambazo tayari zimetumika kuboresha uwanja huo katika miaka kumi na minne iliyopita. Hii ni kutokana na ukweli kwamba ingebidi takriban nyumba hamsini kununuliwa na klabu, hilo huenda likaongeza usumbufu kwa wakazi wa mtaa huo,na upanuzi wowote ungelazimika kujengwa juu ya laini ya reli inayopita karibu na uwanja huo. Kwa kweli , upanuzi huo utajumuisha kuifanya South Stand kuwa na angalau daraka mbili na kujaza jukwaa za South-West na South-East kuhifadhi umbo la "bakuli" la uwanja huo. Makadirio ya sasa yanaashiria kuwa uwanja huo ukijengwa hivyo utakuwa na uwezo wa kuhimili takriban mashabiki 96,000, zaidi wa uwanja mpya wa Wembley.<ref name="expansion"/>
Mstari 672:
[[AIG]] ndio [[wadhamini]] wakuu wa Manchester United, na kama sehemu ya mpango huo wa udhamini nembo yao imebandikwa mbele ya mashati ya klabu na bidhaa nyingi nyinginezo za klabu. Udhamini wa AIG ulitangazwa na afisa mtendaji wa Manchester United David Gill tarehe 6 Aprili 2006, ina thamani ya £ milioni 56.5 rekodi ya aina yake nchini Uingereza na ya kulipwa kwa takribani miaka minne (£ milioni 14.1 kila mwaka).<ref>{{Cite news |title=Man Utd sign £56m AIG shirt deal |url=http://news.bbc.co.uk/1/hi/business/4882640.stm |work=BBC News |publisher=British Broadcasting Corporation |date=6 Aprili 2006 |accessdate=28 Mei 2007 }}</ref> Udhamini huo ulikuwa wenye thamani zaidi dunia mwezi Septemba 2006 baada ya kubatilishwa kwa udhamini wa £ milioni 15 kila mwaka kati ya [[Juventus]] na kampuni ya mafuta ya [[Tamoil]].<ref>{{Cite web |url=http://www.sportbusiness.com/news/160395/oilinvest-to-renegotiate-juventus-sponsorship |title=Oilinvest to renegotiate Juventus sponsorship |accessdate=28 Mei 2007 |date=7 Septemba 2006 |publisher=SportBusiness.com }}</ref> Tarehe 21 Januari 2009, ilitangaza kuwa AIG haitafanya upya udhamini wao wa klabu ifikapo mwisho wa udhamini wa sasa Mei 2010. Hata hivyo, si wazi ikiwa mkataba wa AIG kusimamia MU Finance utaendelea.<ref>{{Cite news |title=AIG ends Man Utd sponsorship deal |url=http://news.bbc.co.uk/1/hi/business/7841748.stm |work=BBC News |publisher=British Broadcasting Corporation |date=21 Januari 2009 |accessdate=21 Januari 2009 }}</ref> Kampuni ya bima ya marekani [[Aon]] ilitajwa kama mdhamini mkuu wa klabu tarehe 3 Juni 2009, huku udhamini wao kwa klabu ukianza kutekelezwa mwanzo wa [[msimu wa 2010-11.]]<ref>{{Cite news |author=Communications Dept |title=Future shirt sponsor unveiled |url=http://www.manutd.com/default.sps?pagegid={48C41513-A376-4D1F-981D-660FC5BB193E}&newsid=6633776 |work=ManUtd.com |publisher=Manchester United |date=3 Juni 2009 |accessdate=3 Juni 2009 }}</ref> Masharti ya mpango huo hawakufichuliwa, lakini imeripotiwa kuwa una thamani ya takriban £ million 80 kwa takriban miaka minne, ambayo itaifanya kuwa mdhamini mkuu zaidi katika historia ya kandanda.<ref>{{Cite news |title=Man Utd in new shirt sponsor deal |url=http://news.bbc.co.uk/1/hi/business/8081787.stm |work=BBC News |publisher=British Broadcasting Corporation |date=3 Juni 2009 |accessdate=3 Juni 2009 }}</ref>
Klabu kimekuwa na wadhamini wakuu watatu tu wa shati. Wa kwanza na waliohudumu kwa muda mrefu zaidi walikuwa [[Sharp Electronics
Vivyo hivyo, klabu imekuwa na washonaji huru nne tu wa sare yake, wa kwanza walikuwa kampuni ya Uingereza [[UMBRO]]. [[Admiral]] ilichukua usukani mwaka 1975, na kuwa kampuni ya kwanza ya kuweka nembo yao kwenye shati la Manchester United mwaka wa 1976.<ref>{{Cite web |url=http://www.prideofmanchester.com/sport/mufc-kits4.htm |title=Manchester United Shirts 1970-79 |accessdate=13 Agosti 2008 |publisher=Pride Of Manchester }}</ref> [[Adidas]] ilifuatiwa mwaka 1980,<ref>{{Cite web |url=http://www.prideofmanchester.com/sport/mufc-kits5.htm |title=Manchester United Shirts 1980-89 |accessdate=13 Agosti 2008 |publisher=Pride Of Manchester }}</ref> kabla Umbro kuanzaa kipindi chao cha pili kama watengenezaji wa sare za klabu hiyo mwaka wa 1992.<ref>{{Cite web |url=http://www.prideofmanchester.com/sport/mufc-kits6.htm |title=Manchester United Shirts 1990-99 |accessdate=13 Agosti 2008 |publisher=Pride Of Manchester }}</ref> Udhamini wa Umbro ulidumu kwa miaka kumi zaidi kabla ya klabu kupata udhamini wa kuvunja rekodi - £ million 302.9 kutoka kwa Nike. Makubaliano na Nike yatadumu kwa miaka 13 ya awali, na kuendelea hadi angalau mwaka wa 2015.<ref>{{Cite web |url=http://www.manutdzone.com/atoz/n.html#Nike |title=A to Z of Manchester United — N |accessdate=22 Mei 2007 |publisher=ManUtdZone.com }}</ref>
Mstari 726:
Hasa mashindano mafupi kama vile [[Charity / Community Shield, Kombe la mabara, Kombe la FIFA la klabu za Dunia]] au [[Super Cup]] hazifikiriwi kwa jumla kuchangia Ushindi mara mbili au tatu.
Taji kuu la peke ambalo Manchester United haijashinda kamwe ni [[Kombe la UEFA
==Tazama pia==
|