Utalii nchini Kenya : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Holder (majadiliano | michango)
d corr using AWB
Mstari 74:
Hifadhi ya taifa ya Nairobi ilikuwa mbuga ya kwanza nchini Kenya ilipoanzishwa mwaka wa [[1946]]. Iko takriban [[kilomita]] 7 kusini mwa katikati ya [[Nairobi]], [[mji mkuu]] wa Kenya, na ni ndogo ikilinganishwa na mbuga nyingine za wanyama barani Afrika. Majumba marefu jijini Nairobi yaweza kuonekana kutoka kwenye mbuga.
 
Mbuga hii ina wanyamapori wengi tofauti.<ref name="Riley">[[Riley 2005,]], p.90</ref> Ni ugo tu unaotenganisha mbuga hii ya wanyama kutoka mji mkuu.<ref name="Prins143">[[Prins 2000]], p.143</ref> Wanyama [[walao mimea]] hujaa sana katika mbuga hii wakati wa [[kiangazi]]. Ni mojawapo kati ya makimbilio ya vifaru yaliyofanikiwa sana nchini Kenya.
 
Kwamba mbuga hii ipo karibu na jiji la Nairobi husababisha mgogoro baina ya wanyama na wananchi na pia hutishia uhamaji wa wanyama.