Kiraitu Murungi : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d corr using AWB |
|||
Mstari 14:
==Kashfa ya "Anglo Leasing"==
Yeye ni mmoja wa washirika wa karibu wa Rais wa Kenya [[Mwai Kibaki.]] Amekuwa akishutuhumiwa kwa majaribio ya kufunika katika [[kashfa ya "Anglo Leasing"
Katika mwaka wa 2006, 8 Februari[[Shirika la Utangazaji la BBC]] ilitoa mazungumzo kati ya Mweshimiwa Murungi na Katibu wa zamani wa Utawala Bora na Maadili[[Bw.John Githongo]] ambapo inaonekana kuwa anajaribu kumwambia Bw. Githongo kuachana na uchunguzi wake juu ya kashfa ya "Anglo Leasing". Yeye aliahidi kwamba [[Anura Pereira]] atasamehe madeni ya KES milioni 30 ambazo zilikuwa zinadaiwa babake Githongo.<ref>{{cite news|title='Taped evidence' in Kenya scandal|date=9 Februari 2006|publisher=BBC News|url=http://news.bbc.co.uk/1/hi/world/africa/4695354.stm|accessdate=2006-02-10}}</ref>
Mstari 25:
==Kamati ya Uchunguzi ya Hesabu Ya Bunge==
Tarehe 10 Februari 2006, Murungi alitoa taarifa ambayo ilichapishwa na kutumwa kwa vyombo vyote vya habari nchini Kenya ikihoji nia na madhumuni ya [[John Githongo
==Angalia Pia==
|