Uharibifu wa mazingira : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Holder (majadiliano | michango)
d corr using AWB
Holder (majadiliano | michango)
d corr using AWB
Mstari 6:
Uharibifu wa mazingira ni wa aina nyingi. Wakati ni makazi asili yanaharibiwa au maliasili kutumiwa vibaya,tunasema kuwa mazingira yanaharibiwa.
 
Mabadiliko ya mazingira na afya ya binadamu ,sehemu maalum katika Raslimali za Dunia 1998-99 katika ripoti hii inaeleza jinsi magonjwa yanyo uwezo wa kuzuiwa na vifo vya mapema bado huzidi kuongezeka kwa idadi kubwa . Ikiwa kuna marekebisho makubwa katika afya ya binadamu mamilioni afya ya binadamu, mamilioni ya watu watakuwa wangeishi kwa muda mrefu,na maisha yenye afya nzuri kuliko awali. Katika maeneo masikini katika dunia inakadiriwa kuwa mmoja katika watoto watano hawataishi kuona siku yao ya kuzaliwa ya tano, hasa kwa sababu ya magonjwa yanayohusiana na mazingira. Watoto Milioni kumi na moja duniani kote hufa kila mwaka, sawa na wakazi wa [[Norway]] na [[Uswisi,]], wakiunganishwa na hasa kutokana na [[malaria]], [[mashida ya kupumua]] au [[Ugonjwa wa Kuhara|kuhara]] - magonjwa ambayo yanaweza kukingwa.
==Madhara ya uharibifu wa mazingira==
kuhusu hili suala huleta madhara makubwa hasa kwa jamii au taifa kwa ujumla maana huweza kusababisha vifo na hivyo nguvu kazi ya taifa hupungua ambapo hukwamisha maendeleo ya taifa na kuleta changamoto kubwa kwa jamii au taifa kwa ujumla