Bunge la 10 la Kenya : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Bunge la 10 la Jamhuri ya Kenya''' lilifunguliwa 15 Januari 2008, likiwa na kundi la Orange Democratic Movement likiongozwa na Raila Odinga, likiwa n...'
 
Holder (majadiliano | michango)
d corr using AWB
 
Mstari 1:
'''Bunge la 10 la Jamhuri ya Kenya''' lilifunguliwa 15 Januari 2008, likiwa na kundi la [[Orange Democratic Movement]] likiongozwa na [[Raila Odinga]], likiwa na wajumbe wengi zaidi. Raila alikuwa mgombea [[urais]] katika [[uchaguzi]] wa [[2007,]], ambao ulisababisha utata wa ushindi kwa Mwai Kibaki wa [[PNU.]] Mwanachama wa ODM, [[Kenneth Marende]] alichaguliwa kama spika wa bunge la 10, akamshinda mwanachama wa PNU [[Francis ole Kaparo]] 105-101 katika raundi ya tatu ya kura.
 
Ufunguzi wa bunge ulikuwa na utata mwingi; Mwai Kibaki alikaribishwa na wanachama wa ODM kwa unyamavu mwingi na kuzomewa, Raila naye alikaribishwa na shutuma za mauaji.