Geoffrey William Griffin : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 1 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q5534978 (translate me)
Holder (majadiliano | michango)
d corr using AWB
Mstari 1:
'''Dkt Geoffrey William Griffin''' (alizaliwa Eldoret 15 Juni 1933 - 28 Juni 2005) alikuwa mkurugenzi mwanzilishi wa [[Shule ya Upili ya Wavulana ya Starehe]]. Alianzisha shule hii mwezi Novemba 1959 kwa msaada wa marehemu [[Geoffrey Geturo]] na [[Joseph Gikubu,]], Afisa Mwandamizi wa sasa wa mkurugenzi wa shule; alikuwa Mkurugenzi wa shule hii kutoka alipo ianzilisha hadi mwisho wa maisha yake. Pia alikuwa mkurugenzi mwanzilishi wa National Youth Service kati ya 1964 na 1988, wakati alistaafu kutoka Huduma kwa Umma ya Kenya.
 
Starehe hutoa elimu ya hali ya juu bila malipo kwa mayatima na watoto wengi maskini wa Afrika (kwa mfumo unaofanana na [[Christ's Hospital]]). Wanfunzi wengi wa zamani sasa ni watu maarufu nchini Kenya na ulimwenguni. (Waziri mstaafu [[Raphael Tuju]]; [[Paul Ereng]], mshindi wa medali ya dhahabu ya Olimpiki; Dk [[Amrose Misore]], Naibu Mkuu wa Mkurugenzi wa Huduma ya Afya; na [[Prof George Magoha]], Daktari wa upasuaji na Mwanaurolojia ambaye ni Makamu wa Chansela wa sasa wa [[Chuo Kikuu cha Nairobi]] ni wachache tu ya Wanastarehe wa zamani).