Tofauti kati ya marekesbisho "Wamersedari"

26 bytes removed ,  miaka 2 iliyopita
no edit summary
d (Bot: Migrating 12 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q770186 (translate me))
 
[[File:Coat of Arms of the Mercedarians.svg|thumb|right|200px|Logo ya shirika.]]
[[File:BarcelonaMerce 9263.jpg|thumb|right|[[Basilika]] la Mercè huko [[Barcelona]] lililojengwa lilipokuwepo [[kanisa]] [[mama]] la shirika mwaka [[1267]].]]
'''Wamersedari''' ni [[utawa|watawa]] wa '''Shirika la Kifalme, la Kimbingu na la Kijeshi la Bikira Maria wa Huruma na la Ukombozi wa Mateka''' ambalo lilianzishwa na [[Petro Nolasco]] mjini [[Barcelona]], [[mwaka]] [[1218]] ili kukomboa [[Ukristo|Wakristo]] waliotekwa na [[Waislamu]] kama [[watumwa]].
 
'''Wamersedari''' ni [[utawa|watawa]] wa '''Shirika la Kifalme, la Kimbingu na la Kijeshi la Bikira Maria wa Huruma na la Ukombozi wa Mateka''' ambalo lilianzishwa na [[Petro Nolasco]] mjini [[Barcelona]], mwaka [[1218]] ili kukomboa [[Ukristo|Wakristo]] waliotekwa na [[Waislamu]] kama [[watumwa]].
<ref>Ann Ball, 2003 ''Encyclopedia of Catholic Devotions and Practices'' ISBN 087973910X page 525</ref><ref>''Mary's Praise on Every Tongue: A Record of Homage Paid to Our Blessed Lady'' by Chandlery Peter Joseph 2009 ISBN 111316154X page 181</ref>
 
Mojawapo kati ya mambo ya pekee ya shirika hilo ni kwamba tangu mwanzo watawa wake wanaweka [[nadhiri ya nne]] ya kukubali kufa kwa ajili ya Mkristo aliye katika hatari ya kupoteza [[imani]], kama ilivyokuwa kwa wale waliotekwa utumwani.
 
Leo shirika linapatikana katika nchi 17.
*[http://www.orderofmercy.org Homepage for the Order of Our Lady of Mercy in the United States]
*[http://libro.uca.edu/rc/captives.htm James William Brodman, 1986. ''Ransoming Captives in Crusader Spain:The Order of Merced on the Christian-Islamic Frontier]''
 
{{DEFAULTSORT:Order Of The Blessed Virgin Mary Of Mercy}}
 
[[Category:Mashirika ya kitawa]]
[[Category:Wamersedari]]
[[Jamii:utumwa]]