Tertuliani : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Tertullian.jpg|thumb|right|250px|Tertuliani]]
'''Quintus Septimius Florens Tertullianus''' ([[160]] hivi – [[225]] hivi),<ref>T.D.Barnes, ''Tertullian: a literary and historical study'', Oxford, 1971</ref> alikuwa [[mwandishi]] maarufu wa [[Ukristo]] wa mwanzoni kutoka [[Karthago]], [[mji]] wa [[mkoa wa Afrika]] katika [[Dola la Roma]], leo nchini [[Tunisia]].<ref>T. D. Barnes, ''Tertullian: a Historical and Literary Study'' (Oxford: Clarendon Press, 1985), 58.</ref>
 
Ndiye Mkristo wa kwanza aliyeandika sana kwa [[Kilatini]], akiathiri [[fasihi]] yote iliyofuata hasa kwa [[misamiati]] yake mipya, hasa kuhusu [[fumbo]] la [[Utatu Mtakatifu]].<ref>Ekonomou 2007</ref>{{pn|date=August 2013}} and "the founder of Western theology."<ref name="gonzales">Justo L. Gonzáles, ''The Story of Christianity, Volume 1: The Early Church to the Dawn of the Reformation'' (New York: HarperCollins Publishers, 2010), 91–93.</ref> Katika maandishi yake anajitokeza kama [[Mababu watetezi|mtetezi wa imani]] pamoja na kupinga [[uzushi]], ingawa ukali wa [[itikadi]] yake hatimaye ulimfanya ajitenge na [[Kanisa Katoliki]].
 
Katika [[maandishi]] yake anajitokeza kama [[Mababu watetezi|mtetezi wa imani]] pamoja na kupinga [[uzushi]], ingawa [[itikadi kali|ukali wa itikadi]] yake hatimaye ulimfanya ajitenge na [[Kanisa Katoliki]].
Habari chache tulizonazo kuhusu maisha yake yanapatikana hasa katika maandishi yake.
 
Habari chache tulizonazo kuhusu [[maisha]] yake yanapatikana hasa katika maandishi yake.
 
== Maandishi ==
Line 103 ⟶ 105:
* 6 ''Carmen de Genesi'' (Poem about Genesis)
* 7 ''Carmen de Judicio Domini'' (Poem about the Judgment of the Lord)
 
==Tazama pia==
*[[Mababu wa Kanisa]]
 
== Tanbihi ==
Line 130 ⟶ 135:
 
{{mbegu-Mkristo}}
 
 
[[Category:Waliozaliwa 160]]
Line 136 ⟶ 140:
[[Category:Waandishi wa Kilatini]]
[[Category:Mababu wa Kanisa]]
[[Category:Wanateolojia wa Tunisia]]
[[Category:Watu wa Tunisia]]