Chuo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Tengua pitio 1087085 lililoandikwa na 41.222.181.75 (Majadiliano)
Tags: Undo Mobile edit Mobile web edit
Mstari 6:
Kutokana na maana hii asilia "chuo" kimekuwa pia neno la kutaja mahali pa kujifunza kusoma, kwa hiyo katika [[Kiswahili]] cha miaka iliyopita kiliweza kutaja pia [[shule]].<ref>A. C. Madan Swahili-English Dictionary Oxford 1903: "Chuo, n. {vy-), (i) book; (2) school" ([https://ia801409.us.archive.org/2/items/swahilienglishdi00madauoft/swahilienglishdi00madauoft.pdf online hapa])</ref>.
 
Leo hii matumizi ya neno yamebadilika, kwa maana ya "kitabu" hupatikana tu katika matini zenye Kiswahili cha zamani na kama mahali au taasisi ya elimu kwa jumla, neno "[[shule]], skuli"<ref>"Shule" kutoka [[Kijerumani]] ''Schule'', "skuli" kutoka [[Kiingereza]] ''school''</ref> limechukua nafasi pana zaidi. Henry kifunta
 
==Viwango vya vyuo==