Mto Saint Lawrence : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '{{mto | jina = Mto Saint Lawrence | picha = Montréal 302 (35877228203).jpg | maelezo_ya_picha = Mto Saint Lawrence mjini Mo...'
 
No edit summary
Mstari 17:
}}
 
'''Mto Saint Lawrence''' (ing.kwa [[Kiingereza]]: Saint Lawrence River, far.kwa fleuve[[Kifaransa]]: Fleuve Saint-Laurent) ni [[mto]] mkubwa katika [[Amerika ya Kaskazini]]. Mwanzoni unafuata mpaka baina ya [[Kanada]] na [[Marekani]] halafu unapita katika [[jimbo]] la [[Quebec]] hadi kuishia katika [[Ghuba laya Saint Lawrence]] na [[Bahari Atlantiki]].
 
[[Chanzo (mto)|Chanzo]] chake kipo pale unapoondoka katika [[Ziwa Ontario]]. Lakini ilhali [[maziwa makubwa ya Amerika Kaskazini]] yote yameunganishwayameunganika, [[maji]] ya [[ziwa|maziwa]] hayo yote huelekea [[Bahari|baharini]] kupitia mto Saint Lawrence. Kwa hiyo inawezekana kuhesabu vyanzo vyote vya maziwa hayahayo kuwa vyanzo vya mto Saint Lawrence, na kwa mtazamo huu [[urefu]] wake ni zaidi ya [[kilomita]] 3,000.
 
[[Mdomo]] wake ni panampana sana na hii huitwa [[Ghuba ya Saint Lawrence]]. [[Umbali]] baina ya [[Ziwa Ontario]] na Ghuba laya Saint Lawrence ni kilomita 500.
 
Upande wa Kanada kuna [[miji]] ya [[Kingston]], [[Montreal]], [[Trois-Rivières, Quebec|Trois-Rivières]] na [[Quebec City]] kando laya mto huu. [[Meli]] kubwa zinaweza kuutumia kama njia baina ya Maziwa Makuu na Atlantiki.
 
==Tanbihi==
Mstari 38:
*[http://www.nfb.ca/film/St_Lawrence_Stairway_to_the_Sea/ Watch the Jacques Cousteau documentary, ''St. Lawrence: Stairway to the Sea'']
*[http://digitallibrary.hsp.org/index.php/Detail/Object/Show/object_id/3885 The Steamboats "Sir James Kemp" and "Lord Dalhousie" on the River St. Lawrence, Upper Canada in 1833 by D.J. Kennedy, Historical Society of Pennsylvania]
{{mbegu-jio-Kanada}}
 
 
[[Category:Mito ya Kanada|Lawrence, Saint]]
[[Category:Mito ya Marekani|Lawrence, Saint]]