Bahari ya Mediteranea : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Replacing Mediterranian_Sea_16.61811E_38.99124N.jpg with File:Mediterranean_Sea_16.61811E_38.99124N.jpg (by CommonsDelinker because: File renamed: Correct Mediterranean).
Mstari 10:
Bahari ya Mediteranea ni [[bahari]] si [[ziwa]] kwa sababu imeunganishwa na Atlantiki kwa njia ya [[mlango wa bahari]] wa [[Gibraltar]].
 
Ina [[bahari ya pembeni|bahari za pembeni]] zake ambazo ni pamoja na [[Bahari Nyeusi]], [[Bahari ya Aegean]], [[Bahari ya Tyrrheni]] na mengine. Bahari Nyeusi inaunganishwa kwa njia ya mlango wa bahari ya [[Dardanellia]], [[Bahari ya Marmara]] na mlango wa bahari ya [[Bosporus]].
 
Tangu 1869 kuna pia njia ya maji kati ya Mediteranea na [[Bahari ya Shamu]] ambayo ni [[Mfereji wa Suez]].
 
Kuna visiwa vingi sana hasa kati ya [[Ugiriki]] na [[Uturuki]]. Visiwa vikubwa ni [[Korsika]], [[Sardinia]], [[Sisilia]], [[Kreta]], [[Rhodos]] na [[Kibros]].
 
== Nchi zinazopakana ==