Tofauti kati ya marekesbisho "Diokletian"

57 bytes added ,  miaka 2 iliyopita
no edit summary
d (All info is kept in Wikidata, removed: {{Link FA|en}} (3) using AWB (10903))
No edit summary
'''Gaius Aurelius Valerius Diocletianus''' (takriban [[245]] – takriban [[312]]) alikuwa [[Kaizari]] wa [[Dola la Roma]] kuanzia [[20 Novemba]] [[284]] hadi [[1 Mei]] [[305]] alipojiuzulu. Alimfuata [[Kaizari Numerian|Numerian]].
 
Kwanza alitawala [[dola]] zima, lakini [[1 Machi]] [[286]] alimteua [[Maximian]] kutawala sehemu za [[Magharibi]].
 
Ni maarufu kwa kuendesha [[dhuluma]] kali zaidi ya [[serikali]] ya Dola la Roma dhidi ya [[Wakristo]].
 
==Tazama pia==
* [[Orodha ya Makaizari wa Roma]]
{{mbegu-Kaizari-Roma}}