Romulus Augustus : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 1 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q130601 (translate me)
No edit summary
 
Mstari 3:
'''Flavius Romulus Augustus''' (takriban [[463]] – baada ya [[476]]) alikuwa [[Kaizari]] wa [[Dola la Roma Magharibi]] kuanzia [[31 Oktoba]], [[475]] hadi [[4 Septemba]], [[476]]. Alimfuata [[Julius Nepos]] akiwa kaizari wa mwisho wa dola hilo upande wa Magharibi. Hali yake baada ya kuondoshwa madarakani haijulikani kwa uhakika.
 
==Tazama pia==
* [[Orodha ya Makaizari wa Roma]]
{{mbegu-Kaizari-Roma}}