96,347
edits
No edit summary |
No edit summary |
||
[[Picha:Trajan-Xanten.JPG|thumb|right|Kaizari Trajan]]
'''Marcus Ulpius Nerva Traianus''' ([[18 Septemba]], [[53]] – [[9 Agosti]], [[117]]) alikuwa [[Kaizari]] wa [[Dola la Roma]] kuanzia [[28 Januari]], [[98]] hadi [[kifo]] chake. Alimfuata [[Kaizari Nerva]] na akafuatwa na [[Kaizari Hadrian]].
==Tazama pia==
* [[Orodha ya Makaizari wa Roma]]
{{mbegu-Kaizari-Roma}}
|