Bahari ya Mediteranea : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 5:
Neno "Mediteranea" limetokana na lugha ya [[Kilatini]] likiunganisha maneno ya "medium" (inamaanisha "kati ya, katikati") na "terra" (inamaanisha "bara"). Kwa hiyo neno lenyewe linamaanisha "Bahari katikati ya bara".
 
Katika lugha ya [[Biblia]] [[Kiebrania]] iliitwa "Bahari ya Magharibi" au "Bahari Kuu"; [[Waroma wa Kale]] waliotwala nchi zote zinazopakana na Bahari ya Mediteranea waliita "mare nostrum" yaani "bahari yetu". [[Waarabu]] na [[Waturuki]] wanaiita "Bahari Nyeupe" (Kitur.kwa [[Kituruki]]: Akdeniz; aukwa Kiarab.[[Kiarabu]]: البحر الأبيض al-baHr-al-abyaD)
 
== Jiografia ==
Bahari ya Mediteranea ni [[bahari]], si [[ziwa]], kwa sababu imeunganishwa na Atlantiki kwa njia ya [[mlango wa bahari]] wa [[Gibraltar]].
 
Ina [[bahari ya pembeni|bahari za pembeni]] zake ambazo ni pamoja na [[Bahari Nyeusi]], [[Bahari ya Aegean]], [[Bahari ya Tyrrheni]] na mengine. Bahari Nyeusi inaunganishwa kwa njia ya mlangomlangobahari wa bahari ya [[DardanelliaDardaneli]], [[Bahari ya Marmara]] na mlangomlangobahari wa bahari ya [[Bosporus]].
 
Tangu mwaka [[1869]] kuna pia njia ya maji kati ya Mediteranea na [[Bahari ya Shamu]] ambayo ni [[Mfereji wa Suez]].
 
Kuna visiwa vingi sana hasa kati ya [[Ugiriki]] na [[Uturuki]]. Visiwa vikubwa ni [[Korsika]], [[Sardinia]], [[Sisilia]], [[Kreta]], [[Rhodos]] na [[Kibros]].
Mstari 26:
 
* [[Ulaya]]:
:[[Hispania]], [[Ufaransa]], [[Monako]], [[Italia]], [[Malta]] (kisiwa[[funguvisiwa]]), [[Slovenia]], [[Kroatia]], [[Bosnia - Herzegovina]], [[Montenegro]], [[Albania]], [[Ugiriki]], [[Uturuki]], [[Kibros]] (Cyprus, [[kisiwa]]).
 
==Viungo vya nje==
{{Commons|Category:Mediterranean Sea}}