Iwambi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Mstari 22:
 
Iwambi iko kati ya [[Iyunga]] na [[Mbalizi]] kando la barabara kuu inayoelekea [[Vwawa]] na [[Zambia]].
Iwambi ni kata ambayo kihistoria walipatikana kabila la [[wasafwa]]ambao waliongea lugha yao ya kisafwa pia waliongozwa na mwene mpoli ambaye alifariki mwaka 2005 na alizikwa ndani ya [[Iwambi]] katika mtaa wa [[Ivwanga]] . pamoja na hayo pia iwambi alipatika shujaa wa vita ya kagera iliyopigwa uko [[Uganda]]iliyofahamika kama [[operation entebe]] ambapo [[Tanganyika]] chini ya uongozi wa [[mwl.J.K Nyerere]] ambo miongoni mwamashujaa hao ni [[ndugu.major jenerali JB wolden]] alifariki ndani ya kata ya iwambi na ndipo kumbukumbu ya shujaa huyu inapatikana kwa sababu.Iwambi ndipo sehemu aliyo zikwa [[ndugu generali Jb wolden]] katika mtaa wa [[Ilembo]]ndani ya kata ya [[Iwambi]].
 
==Marejeo==
{{marejeo}}